SERIKALI KUPIMA UBORA WA MAJIBU YANAYOPIMWA KWA MAGONJWA KOTE NCHINI

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Serikali kupitia Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii imeanza kuandaa sampuli kwa ajili ya kupima ubora wa majibu yanayopimwa kwa magonjwa ili kuweza kuweza kutoa huduma za matibabu sahii kupitia watoa huduma za afya nchini.Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkurugenzi wa maabara  Bw. Medard Beyanga wakati akiongea na Kaimu Mkuu